Jamani naomba msaada wenu. Nina kifaa hicho hapo juu nilikipata kikiwa locked sasa nikanunua unlock codes ambazo nilifanika kukifungua. Baada ya matumizi kama miezi sita hivi imejifunga tena na niliponunua codes, nilipewa zie zile za mwanzo lakini hazifungui.
Naombeni msaada. IMEI yake ni
Naombeni msaada. IMEI yake ni
358194040189192