Help:this app wont run without google play service which are missing from your phone

Help:this app wont run without google play service which are missing from your phone

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,335
Habari
Natumia android 4:1:4,mwanzoni apps zote zilikua zinafanya kazi ila kwa sasa kuna baadhi ya apps nikizifungua napata error message"this app wont run without google play service which are missing from your phone" na nimejaribu kuinstall hiyo google play service ila imegoma inaniambia incompatible with other apps. Hebu nipeni maujuzi maana sijui nifanyeje,apps kama youtube,hangout,na zingine,na zote zipo updated
 
kaka hujasema unatumia simu gani maana kuna android mbili.
1. android ya google yenye play service
2. aosp isio na play service

app zenye in app purchase au baadhi ya vitu vinavyotaka service za google huwa haziingii kwenye aosp mpaka uflash google apps.
 
Ushauri: uflash tu simu, tatizo kama lako limewahi kunitokea, tena mi kwa bahati mbaya nilikuwa na-uninstall app moja kwa kutumia master clean nikajikuta na google play services nimeuninstall, nilijaribu kuinstall google play services upya lakini ikafeli kufanya kazi mpaka nikaflash simu ndo ikarejea kwenye hali ya kawaida
 
amnakipingamizi apo ila njia rahis reboot cm yk apo kwa hapo bila kwenda kweny pc au kutumia first boot umenipat mfano km samsung s1 unaizim kosha unawasha kwa chakuwash na chakupandish sauti na kilechakat chini pale kweny kiyoo alaf itawak lakin kivyengine alaf utafuta neno farst boot uabiny ila cm aitoweza kutach uta tumia chaku shusha saut kwa kwenda chini na chakupandish kwa kwenda juu na chakuzim ndio itakua select yk
 
amnakipingamizi apo ila njia rahis reboot cm yk apo kwa hapo bila kwenda kweny pc au kutumia first boot umenipat mfano km samsung s1 unaizim kosha unawasha kwa chakuwash na chakupandish sauti na kilechakat chini pale kweny kiyoo alaf itawak lakin kivyengine alaf utafutaneno farst boot uabiny ila cm aitoweza kutach uta tumia chaku shusha saut kwa kwenda chini na chakupandish kwa kwenda juu na chakuzim ndio itakua select yk. jk tem kwavideo ni search jamal jack in tembo hotel YouTube.com
 
Natumia huawei Y511-T00 ila inanigomea kabisaaa kwenye apps za google kwa mfano niki install google play service inaniandikia unfortunately google has stopped kama play store na youtube ndo hataa hazifunguki msaada jamani wakuu
 
Back
Top Bottom