Help: The internal hard drive disappeared

Help: The internal hard drive disappeared

elank54

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Posts
479
Reaction score
21
cant see my drive G after repairing the 'bootmgr image corrupted failed' problem!!!
 
cant see my drive G after repairing the 'bootmgr image corrupted failed' problem!!!
Mkuu umeandika kiufupi sana!,
Haionekani ukiwa wapi? Kwenye POST? Kwenye local drive?
Ila jaribu kwenda disk management angalia kama ipo.
 
haipo kwenye othr drives kama zamani na kwenye disk mngt ipo kama unallocated FREE drive na ilikua na vitu zaidi ya gb 20
 
haipo kwenye othr drives kama zamani na kwenye disk mngt ipo kama unallocated FREE drive na ilikua na vitu zaidi ya gb 20

Sijui ndo ujinga wangu ila ninavyojua mm hapo inabidi ui format hiyo drive G ili ionekane kwenye local drives..!!
 
haipo kwenye othr drives kama zamani

Ndugu kama uliinstall windows basi itakuwa ilifutika. Maana mimi niligawa partition nne, partition yangu ya F: ilifutika baada ya kuinstal Windows 8. Kwa hiyo mkuu hutaweza kuirudisha hiyo partition labda ujaribu program za partition recovery.
na kwenye disk mngt ipo kama unallocated FREE drive na ilikua na vitu zaidi ya gb 20
Hapo umeshapoteza partition nzima, Ni bora u-extend tu hiyo partition yako ili kuzuia kufuta partition tena.
 
Back
Top Bottom