2my
JF-Expert Member
- Jan 30, 2010
- 287
- 7
Habari zenu wapendwa....
Naimani humu nitapata msaada ....... mimi nilikuwa naumwa typhoid na amoeba was result from hospital nikapewa ciproflucenllen na secnidazole(siku mbili)na nyingine nilizitumia kwa siku kumi...kuanzia siku ya nane kwenye matumizi ya dawa nikapata maumivu makali sana ya tumbo tena Mara nyingi ilikuwa wakati wa usiku au baada ya Kula chochote...nilihisi ni reaction ya dawa ILA baada ya kumaliza dawa bado maumivu yaliendelea nikarudi hospital wakahisi ni alcers nikapimwa ILA ckuwa nayo..Dr.akaamua kunipa dawa nyingine aina ya Fluconmole za siku kumi nikatumia maumivu yamepungua ILA hayajaisha na dawa nimemaliza tangu trh 24 jan....nilimpigia Dr.aliyeniattend akanishauri kutumia flagill still maumivu nayapata....wapendwa kwa yeyote anayeweza kunishauri plz nauthamini sana ushauri Wako...