habari members!
Nina tatizo kwenye accounti yangu ya facebook haionyesh picha nahisi kuna mahali nimeseti hovyo ila sipafahamu nimehangaika mnno hata kwakutumia device nyingine ila wapi so guys help me nirekebishe wapi?
pia situmii 0.fb ile ya voda natumia yakawaida tu bt spat vinatokea vboks au neno picha kuipata had niiclick tena,natumia simu t605 mwanzon ilikuwa poa ghafla ikawa hv