Abuu Abdurahman
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,451
- 1,826
MaguUnataka uendeshe ndege ya nani?
hii namba yako ipo tsup?[/QUOTE
ipo WhatsApp mkuu
Ingia kwenye website yao kiongoz, ni 40,600 sio 4060. Dah mkuu yan unasoma kipengele kimoja tu unakata tamaa, soma kila kitu ndio ufikie maamuziLiving allowance per month ni ndogo sana Wanatoa 4060 HUF ambapo ni sawa na tshs 36,200/-
Ingia kwenye website yao kiongoz, ni 40,600 sio 4060. Dah mkuu yan unasoma kipengele kimoja tu unakata tamaa, soma kila kitu ndio ufikie maamuzi
[emoji16] [emoji16] [emoji16] kwa uchumi wao huo mpunga unakutosha, sasa ulitaka upewe milioni auni 40460 HUF Ambayo ni kama laki 365,350 tshs per month but bado ndogo sana mkuu
Mkuu nitumie links niapply vya china
Scholarship china zipo full ila ni kupitia jeshi na utakua rubani wa ndege za jeshi
Tatizo iyo chance ya kupata jeshini ni ngumu sana
Kama una vigezo utapata na hao niliokutana nao mm ni form 6 graduates walioenda jeshini miezi mitatu zikatoka nafasi baada ya matokeo waka apply wakapata full hulipi ktu