Hicho chuo achana nacho hakivumi lakini kimo... Mkienda kucheza mtarudi mnalia najivunia kuwa mwanafunzi wa mipango.. Nicheki inbox nikupe namba ya dogo yupo hapo mwaka wa tatu.. Atakusaidia kupata hostel au nyumba za nje kama unataka.. Ukae mbwanga..miyuji..mpamaa..upendo au maeneo ya don bosco..muende mkasome sana..msifate mkumbo mmesikia wazazi wenu tuna tafauta hela kwa shida sana