Help | Msaada : I want to start an ISP business

Help | Msaada : I want to start an ISP business

SamJet

Senior Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
162
Reaction score
13
Jamani wana jamvi, naomba msaada on how to start an ISP business, specifically wireless internet service WISP.
Jamani tusaidiane mawazo n.k
 
Kama ilivyo biashara ingine
1. Unahitaji mtaji
2. Uwe unajua unachokifanya, nikiwa mdogo niliwahi kuwaibia hao jamaa mpaka wakafunga
3. Uwe na strategies za biashara kuwahamisha watumiaji waje kwako
 
Waone nsn, ericson, huawei, alcatel lucent au zte hao ndio isp wa isp
 
poa c6, fafanua basi kiuzaidi nipate picha
 
ivi naweza pia kuwaona aptus.co.tz, wao ni distributor wa Ubiquiti Networks na wanaadvertise kwamba .........................
 
Duuu Anza kutafuta wateja wako ni kina nani? Ukishajua Ndio uendelee mambo mengine ya mitaji! Soko gumu kidogo
 
Aise!! Unahitaji kilo nyingi za hela! Kuanzia kununua servers, cooling systems za ukweli, generators, mi fibre ¨¦tc. Are you up for the challenge?
 
Heri utafute mkoa mmoja ambao hauna cable tv peleka huko labda Uanzie hapo
 
For wireless Inawezekana Once Umeshajua mahali panachangamoto hiyo (kuna watu wanahitaji huduma hiyo) unaweza ukafanya installation,ukawaelezea watu kuhusu na suala zima unalolitaka kuwasaidia..(advertising). Husihofu kuhusu mtaji "Money don't produce Idea do." elewa kusimamia biashara,kumbuka biashara si kutengeneza fedha tu ila ni kutatua matatizo ya kila siku,....
 
Back
Top Bottom