Hey guyz whats up
Am m nko Arusha ila ninatatizo moja tu wakubwa nalo ni
Kuna bint nimempenda sana ila kumwambia hanielewi mara kasema hawezi kumsalit qliyekuwa naye ila cha kushangaza aliywkua naye katembea na rafik yake......naomba ushaur naimwambie eje ili aweze kunielewa naomben ushaur waungwana:
Achana naye kwa sababu aliye naye ss hivi akigundua kuwa unamtongza atakuua wewe na yeye ajiue halafu kabinti katapona kabaki kanatesa na wengine wakati nyie mko ahera