Help me

luckers

Member
Jan 6, 2013
64
2
Hey guyz whats up
Am m nko Arusha ila ninatatizo moja tu wakubwa nalo ni
Kuna bint nimempenda sana ila kumwambia hanielewi mara kasema hawezi kumsalit qliyekuwa naye ila cha kushangaza aliywkua naye katembea na rafik yake......naomba ushaur naimwambie eje ili aweze kunielewa naomben ushaur waungwana:
 
Nenda na bastola umtishie kama hakukubali unajilipua na kesi inakuwa yake.
Swain!
 
Achana naye kwa sababu aliye naye ss hivi akigundua kuwa unamtongza atakuua wewe na yeye ajiue halafu kabinti katapona kabaki kanatesa na wengine wakati nyie mko ahera
 
nenda kajinyonge harafu uandike ujumbe kuwa umejinyonga kwa ajili yake. nadhani hapo lazima akupende atake asitake
 
unapoomba msaada ktk vitu vya kipuuzi tegemea majibu sahihi kama yaliyotolewa hapo juu.
 
Dd u think labda n kitu cha kipuuz no realite sijui nn cha kufanya

Mapenzi Mahusiano na Urafiki

Watakupa Majibu sahihi.

Arusha Boys bwana..

Soon tutasikia Billionea mdogo wa Arusha auliwa kisa kutembea na mke wa Mtu.
 
Hutu tuvulana bana. Ishu ndogo kama hii eti nayo ni ya kuomba ushauri.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom