Help Me Recover Memory Card Password..

Help Me Recover Memory Card Password..

Swts

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
3,062
Reaction score
1,299
Naomba mnisaidie,kwa anayejua namna ya kutoa au kurecovr my memorcard paswod..ilikuwepo but sasa nimesahau ,so nashindwa kutumia,mfano:kuweka kwa simu nyingine,hata kuhamishia chochote from Computer?help me pls
 
tafuta simu yoyote nokia smartfone,iweke huko itakupa option ya kubadili pasword na kuweka nyingine au kuiondoa kabisa.
 
kama ukibadili simu bado password itakuwepo tu...najua jinsi ya kutoa hiyo password ni mpaka utumie kifaa flani ambacho ni kama flash sema nyuma kuna mahali pa kuingiza hiyo memory card alafu unachomeka kwenye usb port then unamaliza kazi...kuhusu software inayoweza kufanya hiyo kitu bado sijajua sabau hilo tatizo halijawahi kunipata ila ngoja nilishughulikie ntawapa majibu endapo nitafanikiwa
 
Unaweza chukua simu nyingne i recommend nokia weka memcard yako. Nenda kwny tools tafuta memcard yako option formart. Pasword ita kuwa imetoka sema itafuta kila kitu.
 
fata hizi step nazokutajia utapata password zako

Step1: unatakiwa uwe na smart phone kama huna eka hata kwa rafki yako. Mfano wa smart phone ni nokia n series na e series

Step2: download xplore just search google lonely cat games xplore

Step 3: install xplore then then open bonyeza 0 (zero) halafu tick option ya show hiden folder

Step 4: open c then sys then data then mmcstore yaani path hii c:/sys/data/mmcstore

Step 5: bonyeza 3 kuopen iwe katika hex editor na angalia mstari wa 3 utakuta code ya namna hii ! TMSD02G (c??"?x???
6?2?6?2?6) so namba zote zilizo katikati ya alama ya kuuliza ndo password yako yaani 62626
 
asante nawait pia..
 
thnx chief ntafanya n ntatoa majb.nkpata iyo seriez..but cmu nlowkea memo paswd n nokia xpres music 5130,je aifai?
 
Unaweza chukua simu nyingne i recommend nokia weka memcard yako. Nenda kwny tools tafuta memcard yako option formart. Pasword ita kuwa imetoka sema itafuta kila kitu.

ok mkuu,il try that
 
Inategemea hiyo password imewekwaje simu mara nyingi sio tu zinaweka password bali zina encrypt hiyo card, mimi nina memory card iliwekwa password na simu ya Sony Ericsson kisha simu ikafa, mpaka leo kadi haiwezi kutumika, pamoja na kuichomeka kwenye kila aina ya simu au PC Operating System, haisomeki kabisa hata kuiformat haiwezekani.

Ila kama simu yako ni ile ile tafuta optionya kuformat, hii itafuta data zote lakini.
 
wewe hata ulivyoformat ilikataa??
 
Hauwezi hata kufikia hatua ya kujaribu kuformat.

ok...kwamimi ninavyojua ni kuwa option ya kuformat lazima itakuwepo..anyway,bora nimepata kujua kuwa tatizo kama lako linaexists...
 
Inategemea hiyo password imewekwaje simu mara nyingi sio tu zinaweka password bali zina encrypt hiyo card, mimi nina memory card iliwekwa password na simu ya Sony Ericsson kisha simu ikafa, mpaka leo kadi haiwezi kutumika, pamoja na kuichomeka kwenye kila aina ya simu au PC Operating System, haisomeki kabisa hata kuiformat haiwezekani.

Ila kama simu yako ni ile ile tafuta optionya kuformat, hii itafuta data zote lakini.

nkweka 4mat inataka paswd pia jman
 
nkweka 4mat inataka paswd pia jman

Tafuta adapter ya kuchomekea hiyo card katika PC au tafuta simu yenye Manufacturer tofauti ufanyie format huko, kwa mfano kama simu yako ni Nokia tafuta Samsung inayopokea hiyo kadi na yenye uwezo wa kuformat.
Wazo langu ni kuwa Samsung haitajua kitu chochote kuhusu password system ya Nokia na itakuruhusu kuformat.

Pia unaweza kutumia camera inayopokea card ya aina hiyo, yaani kifaa chochote ambacho sio Nokia na kinachoweza kuformat.
 
Naomba mnisaidie,kwa anayejua namna ya kutoa au kurecovr my memorcard paswod..ilikuwepo but sasa nimesahau ,so nashindwa kutumia,mfano:kuweka kwa simu nyingine,hata kuhamishia chochote from Computer?help me pls
mkuu, hapo hutaweza kuFomart hiyo kadi hata utumie adapter ya aina gani kwasababu ishakuwa encrypted..solution sahihi ni hiyo aliyokupa Chief Mkwawa lakini pia itategemea kama hiyo smartphone utakayotumia ndiyo hiyo uliyowekea password kwenye memory card..sababu kuu ni kwamba unapotumia simu kuweka password kwenye memory card, backup ya hiyo password inabaki katika drive c ya simu kama mmcstore file hivyo ukitaka kujua password yako lazima uExplore hiyo root directory husika na ukiFormat hiyo simu ndio kwisha habari.ukibadilisha simu ukaweka memory card kwenye smartphone nyingine hutafanikiwa kupata hiyo password kwasababu ilibaki kwenye original phone....
 
mama wee mbona kasheshe mana cmu iyo alosema chf,cyo nlowkea paswod..nmeweka kwa nokia 5130 xpres muzik
 
dah,,hizo nokia 5130 ni Symbian S40, ingekuwa umeweka kwenye simu yoyote ya S60 ingekuwa rahisi kuipata mmcstore kwa kutumia Xplore au file manager,,labda tusubiri wakuu wengine wenye ujuzi labda kuna application ya java itakayokusaidia,,,,
 
i think ipo file explorer ya java tatizo sina uhakika kama inaonesha hidden folders
 
Back
Top Bottom