L lugy patrick New Member Joined May 20, 2011 Posts 1 Reaction score 0 May 21, 2011 #1 jamani me nimekua mnene sana mpk hate ma self,shape ya udada yapotea,nimekua na kitambi sn ht kuvaa magauni nashndwa help me out
jamani me nimekua mnene sana mpk hate ma self,shape ya udada yapotea,nimekua na kitambi sn ht kuvaa magauni nashndwa help me out
Rangi Mbili Member Joined May 17, 2011 Posts 37 Reaction score 8 May 21, 2011 #2 Chagua vyakula , waone wataalamu wa vyakula...Uanze kufanya mazoezi