unatumia account gani? mimi najua gmail tu.
unatumia account gani? mimi najua gmail tu.
Mkuu...
Naomba utuelekeze hii ya gmail.
Weka software hii kwenye cm yako System_SEVEN_Push_EmailWakuu, poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa. Na waliopo safarini loliondo poleni sana. Naomba mnisaidie ili niwe napata email notification kwenye cm yangu NOKIA E61i. Nimejaribu setting zimenishinda. Kuna mambo ya incoming na outgoing mails, pop3, ima4 n.k. Mwenye ufahamu anisaidie ili niwe nasoma emails kwa wakati mara tu zinapoingia.
Weka software hii kwenye cm yako System_SEVEN_Push_Email
utapata mail zako zote real time wala huhitaji kujuwa pop3, unatakiwa kujaza id yako na password tu.
hata hii sio mbaya profimail 270 hii setting utapata link ya chini hapo
kama unahitaji ku-config mwenyewe http://twilightwap.com/forums/oku2_2.asp?sid=baHHuW803317943&forum=s60&id=474957&tt=43Email Pop3 Setting