Help: Leseni ya ujenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Help: Leseni ya ujenzi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Baiskeli, Mar 2, 2011.

 1. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kwa wanaofahamu naomba msaada, nimekuwa mkandarasi mdogo mdogo kwa muda, bila ya kuwa na kampuni napiga vikazi vya ujenzi wa mashule vijijini, sasa nimeona nimekuwa kimtaji, nahitaji kuwa na kampuni na leseni ili niweze kupata kazi kubwa, sasa kupata leseni ndo sijui nianzie wp? wanajf naamini mtanipa muongozo mzuri.
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu kwanza hongera kwa kuamua kuacha kuibia serikali ya mafisadi kupata usajili ni rahisi tu sajili kampuni kwanza brela kisha nenda tra kupata tin no kisha unakwenda jiji kufatilia leseni maelezo mazuri utakuwa unayapata sehemu husika mkuu
   
 3. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nashukuru mkuu kwa mchango wako, kampuni tayari nimeshasajiri.
   
 4. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Chain hii inakuhusu kwa 100%. Utaifuata kama ilivyo.
  1. Nenda kasajili Brela
  2. Nenda CRB-Contractors Registration Board
  3. Utaenda TRA
  4. Utamalizia na Leseni.
  Ndugu yangu kwote utapita kama unakula ugali wa mhogo na mlenda. Kazi kubwa ipo CRB. inatakiwa ujipange. Kanunue form ndipo utajua unatakiwa ufanye nini. Ila unaweza tembelea Mtandao wao.

  Best wishes. Mimi pia ni Mkanda
   
Loading...