Help i lied!

Weka tayari nauli aliyokopa akifika tu, mkabidhi mkononii, andaa mazingira ya kumpokea vizuri wala usimwambie kuwa leo ni 01/04, wewe mwambie tu kuwa umemkumbuka sana ukashindwa kuvumilia. Nadhani kama ana mwingine huko akirudi atamwaacha.
 
Please help me i fooled ma husband.he's jobless so nime mudanganya hivi.yeye yuko arusha mm nairobi.so i told him because of his jobless am running away 2 somalia with his baby i told him he wont c her again. Yani amekopa nauli yuko njia yuwaja.i don knw wat 2 do bcoz i was jus kidding.and i luv him i wont leave him 4 anythg.bt last year he was the one who fooled me.tit 4 tat.bt namuhurumia

Just tell him you did that to get back to him...Tit 4 tat au siyo??!!
 
kama walivosema wenzio mwache aje we mpe mapenzi hujawahi mpa na visuprise vinginevo.hawezi kukupiga hata kidogo na atajua kapatikana.
 
Yaani mliotoa ushauri mmekamatika kwa salma. Duh!
Mlijisahau au ni nini?
 
ahh kesi ndogo na tamu iyo....
1.andaa mazingra yawe ya kimalav davi ...seblen ,chumban kuwe na roses,makad na mbwembwe zooote za kimahaba na jina lake liwe umelitundika milangon na madirishan kooote(itakubd tu ufanye mahaba ya form 2b cz umeyataka mwenyewe)

ukienda kumpokea kwenye gar muwekee zawad zake...aikifika hm pia nyngne....

umeyataka bib so gharamia tu!!!

Kwa vile unajua amekopa nauli and on top of that hana kazi. Akifika, mrefund nauli halafu mwambie ulitaka kumuona na pia mkumbushe leo ni 1st April. Jioni ya leo go out for a romantic dinner with him.
Sina cha kuongeza hapo!
 
Please help me i fooled ma husband.he's jobless so nime mudanganya hivi.yeye yuko arusha mm nairobi.so i told him because of his jobless am running away 2 somalia with his baby i told him he wont c her again. Yani amekopa nauli yuko njia yuwaja.i don knw wat 2 do bcoz i was jus kidding.and i luv him i wont leave him 4 anythg.bt last year he was the one who fooled me.tit 4 tat.bt namuhurumia

Utavuna ulichopanda.
 
Salma,hilo unalo!
 
yani sijui lakufanya
Yote tisa,lakini sasa napata hisia za kukuonea huruma.Ngoja nikupe njia,just relax,akifika mpokee vizuri,akikuuliza kulikoni mwambie mme wangu nakupenda sana nimekumiss,najua huna hela lakini uzalendo umenishinda nikaona nikupe maneno ya kukuchoma ili utafute njia hata mkopo uje la'aziz wangu angalau nikutie machoni. Wahenga walisema 'penye udhia tia rupia' hakikisha mavituuz utakayompa leo yanamlewesha mpaka hasira yote iyeyuke! Kila la kheri,kesho tuhabarishe.
 
Hii kesi nzuri sana na wala siyo kubwa kama unavyodhani.. kwanza atafurahi na ataona unampenda ulitafuta kisingizio cha yeye kuja kujilia vyake.. ww usisite kuongeza ufundi tuu kesi kwisha.
 
Good nite every1 kesho full story of wat happend.i thank u all 4 ur advice!
 
Ulimiss tu mzizi maji huna lolote, haya huyo yuaja jiandae sasa kumpokea hahahahaaa! by the way joke kama hizo wakati mwingine huwa zina faida wakati mwingine hasara jitahidi kumwelesha tu, mwambie ulimmiss tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom