Help: I cant wash his underwear

Unatafuta fairness ipi ndugu?
 

Soln
Mtafutie house girl wa kufanya hizo kazi. Mind you siku apimpandisha cheo usilalamike Ok.
 
Ngoja akutane na akina mama naniii huko mtaa wa tatu uone kama atakukumbuka tena;
utabaki unaitazama pete.
 
Dada rachel!! This is your private business. Hayatuhusu. Nendeni mkamalizeni wenyewe.
 

hilo ni limbwata maana aliyepewa limbwata hawezi kujua mpaka li expire yaani mkeo, dada yako, na housegirl hawatoshi mpaka na wewe ukashughulike hiyo ni too much brooo!
 

For the sake of your marriage do whatever pleases him, provided it does not go against God's instructions
 
kwenye issue ya mshahara wa mke kuchangia budget ya ndani kuna ugumu

Pole mkuu, mwanamke yuko hivi. Kama wewe unampenda kwa dhati na kuwa kila kitu cha maendeleo unamshirikisha na kuwa hela yako hupeleke kwa mistresses basi nakuhakikishia hela yake atashiriki na wewe katika kila hali. Wanachohitaji hawa watu ni security kuwa wanapendwa na kuwa kila kitu wanamiliki pia. Sasa wewe kila siku unabadili vichuguu vya wanawake ni mwanamke yupi atakuamini?? Mkuu nilikwenda nje kusoma kipindi Fulani kwa mwaka mmoja tu kwa hiyo tukawa na majukumu na sikuweza kwenda na familia watoto walikuwa shule na issue nyingine kibao tu. Kulikuwa na mradi wa ujenzi na nikaamua kusitisha kwa kuwa niliona ni bora hela yangu ya mshahara nusu nzima niliamua awe anaandikiwa check mke na nusu kwenye account yangu japo na yeye ana income pia. Mwezi mmoja kabla sijamaliza masomo nilimwita aje ani join na kusheherekea graduation na alibahatika kupata visa!!! Alifurahi sana na akawa ananieleza mambo mengi mbali mbali ya maendeleo aliyofanya pindi sipo na watoto kwa ujumla. Akaficha kimoja!!!!! Kumbe alikazana sana na akawa anendelea na ujenzi tena kwa ufasaha kuliko mimi (huwa yeye na mafundi ni kiboko yao maana utafikiri ni mhandisi). Niliporudi akanipeleka site, sikumini macho yangu. Muhimu mfanye mke ajenge imani nawe kuanzia wakati wa urafiki, day one
 

Hayo ni maajabu mengine ya watu wa JF...
 
hilo ni limbwata maana aliyepewa limbwata hawezi kujua mpaka li expire yaani mkeo, dada yako, na housegirl hawatoshi mpaka na wewe ukashughulike hiyo ni too much brooo!

Mkuu nakataa hakuna cha limbwata hapa ni upendo wa dhati tu. Hadi leo tunajukuu limbwata bado lipo?? Nilijifunza sana kwa baba yangu mzazi ambaye ni marehemu. Mpaka sisi watoto hakukuwa na wa kike wala wa kiume, wote tulifua, kupika, kuchota maji, kukamua, kufagia uwanja, yaani kila kitu hadi nafika chuo kikuu nilikuwa nikirudi home napika na familia nzima inakula. Baba yangu (R.I.P) hata mama alipokuwa anajifungua baba alikuwa anampikia na sisi tukirudi shule tunakuta chakula. We had such a wonderful dad. Na mama yangu hata akienda kutembelea watoto akikuta mwanaye wa kiume anashiriki majukumu ya nyumbani hana cha kusema maana hata yeye alifanyiwa. Ninakuhakikishia ndoa zitadumu tu labla uwe umeoa kituko. Inawezekana limbwato linakuwepo ila siku zote ndumba hazidumu hata kidogo, siku zitakataa tu na ikikataa ndumba jua hali inakuwa mbaya zaidi.
 
Bora wewe mwanaume umeongea mtu anatakiwa afanye kwa mapenzi na sio utumwa kutoelewa mipaka ns majukumu yetu nalo tatizo kubwa la vurugu na dharau tunazzozioNa kwenye ndoa leo. lOTE=Eli79;8468900]Wakati mwingine naona wanawake wako kama watumwa vile... dume lifanyiwe kila kitu, kila kitu...
umpikie, umfulie, umpasie nguo, umuandalie ipi avae, soksi na boksa ziwe safi, utandike kitanda na bado kila iitwapo usiku ulale bila pichu...
mwisho wa mwezi mnagawana majukumu 50/50...
Its not fair kwa wanawake, lol.[/QUOTE]
 
Very positive minded, Mungu akubariki wewe na familia yako. Seriously, wewe ni kichwa cha kristo ktk familia yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…