Help: I cant wash his underwear


Hiiiiiiiiiiiiiiiiii haya majanga sasa!!
Yaani kufua chupi ya mwanaume nalo ni jukumu la mkewe? Aaaa salalaaaaa!!!

Vitu vingine ni favour, na vinafanywa kwa mapenzi tu!
 
Mh mie napita mana watu wameoverreact sana, looking at this issue in a single perspective. Atleast aelezwe prons and cons za kufanya hayo. I believe she is even more frustrated since these suggestions are subjective
 
:dance::dance:Kuzaliwa mwanamke maateeso,maateeesoo,kuhangaika.:dance::dance:
 
Wanawake wenye akili wanakuwa proud kuwafanyia waume zao hizo kazi...
 
Wanawake wenye akili wanakuwa proud kuwafanyia waume zao hizo kazi...

Tena sana kuna watu wanatafuta hizo nafasi za kuwafanyia wapenzi wao hayo hawazipati afu ye analalamika.
Hujambo lakini
 
swalaaaaaaa!!!!!

swala.. swalaaaaaa!!!!

aisee i hate this!!!! himizeni watoto wenu waende shule!!!!, TANZANIA ingekuwa mbali sana kama tungeliwahimiza wanetu kwenda shule namna hii asubuhi asubuhi......!!!!

dini ipo tu kila siku tutaswali..!!
 
Tena sana kuna watu wanatafuta hizo nafasi za kuwafanyia wapenzi wao hayo hawazipati afu ye analalamika.
Hujambo lakini

Niko poa sana besti... baeleze hawa badogo zako bana... raha ya kuwa na ndoa ni kumfanyie mumeo vitu ambavyo hawezi kufanyiwa na mtu baki...
 
Mimi nikiamua kufua mwenyewe hua unakua ugomvi.....huwa anahisi kama namdharau hivi....pia hua namuomba kupika japo siyo mara zote huitikia kwa shingo upande.....kuna kipindi nilimuambia wewe fua nguo zangu mi nitqfua zako......alikataa katakata...mpaka leo hatuna house girl wala house boy...hataki hata kusikia
 
swalaaaaaaa!!!!!

swala.. swalaaaaaa!!!!

aisee i hate this!!!! himizeni watoto wenu waende shule!!!!, TANZANIA ingekuwa mbali sana kama tungeliwahimiza wanetu kwenda shule namna hii asubuhi asubuhi......!!!!

dini ipo tu kila siku tutaswali..!!

Ww si ulale ? Wanaoamshwa washaamka..
 

hzi ndoa zna mambo jamani...!mwanamke -------- ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe,dah bora kuitwa jinga kuliko --------
 
Ahsante kwa kutupa a credible source

Mara nyingi huwa napata wakati mgumu kutoa ushauri haswa kwa hizi mada za kunakiliwa mahali...

Maana tukio limetokea sijui wapi huko, lakini watu wanakazana kutoa ushauri kwa mtu aliyeleta kisa na kisa hicho wala hakimuhusu...

Hii ni sawa na kukazana kupaka rangi upepo...
 
Kha we nawe uliolewa wa nini? Rudi kwenu!
duh Munkari sometimes unanifurahisha sana, very nice! au huyu mwenzenu Mzungu nini? hata wazungu hawafanyi hivyo wanatafuta mashine ya kufanya kazi hiyo! kwa huyu mashine itakayo msaidia Africa hamna zaidi ya nyumba ndogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…