HELP: How to create a Pandora internet Radio Account

HELP: How to create a Pandora internet Radio Account

Epicauta elbovitata

Senior Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
143
Reaction score
19
Hellow guys..
Owkey tayari nina VPN service kwa iyo naweza ku access this website.
Tatizo langu linakuja pale kwenye kucreate Account kuna Box ya kujaza ZIP/postal code, asa me sijui hata format za zip/postal code za US ndo naombeni wakubwa kama kuna mtu anajua hata moja anisaidie maana nimeguess mara kibao naandikiwa "invalid zip/postal code"

NATANGULIZA SHUKRANI
 
zip andika 75001 jimbo andika texas city andika addson namba ya simu(wakitaka)
(972) 770-0070

mabano toa na wakitaka kianzio ni +1

make sure vinaendana maana kila mji na zip code. kama utataka kutumia city/region nyengine unaweza google au ukanambia ntakupa zip code yake
 
Dah.. Hola mkubwa.. Nimeanndika "75001 texas city" waap nikajarib kuongeza na ilo jina mbele lakin pia hamna bado inaload alaf inaandika "The zip code is invalid.please enter a valid zip code"
 
Back
Top Bottom