Help! Help!help facebook.

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,651
Msaada wandugu nadhani hacker wanaweza kuwa wamenitembelea. Kila nikifungua napata msg hii Please complete a security check
No verification methods are currently available. Please come back later CHINI KABISA KUNA OPTIONS 2 TU YAANI 1continu 2 help center.
 
Uki-click "continue" nini kinatokea?
mpaka hapa nimefikia hapa Name New Device
Please give this device a name. Because you have Login Notifications enabled, you will receive a notification that you logged in from this machine
 
Nadhani hiyo inajieleza:
Please give this device a name. Because you have Login Notifications enabled, you will receive a notification that you logged in from this machine.
Hafanya kama hiyo meseji inavyosema Mkuu.

I.E----> HICHO KIFAA UNACHOTUMIA KIPE JINA mfano JFORUMS
UTAPATA EMAIL KUWA ULI LOG IN FROM THAT DEVICE.​

Kwenye settings ume-set kupate notifications kwa kila unapo-login au mtu aki-login.

USHAURI: NAMI HIYO SETTING IMENIFANYA KUPOTEZA ACCOUNT YANGU YA USO KITABU A.K.A FACEBOOK
KWA SABABU NILIKUWA NIKI-LOGIN KUTOKA DEVICES KIBAO. SO, WAKAWA NA WASIWASI KUWA KAMA MY ACCOUNT IS HACKED.
ILI KU-GAIN ACCESS UNATAKIWA KU-COMPLETE CERTAIN PROCEDURES AMBAZO KWA KWELI SI RAHISI KWA UPANDE WANGU.
 
Hiyo ni message ya kawaida hasa kama ulifanya attempt ya ku-login mara nyingi ukawa unakosea password au username, so unaulizwa hivyo ili uweze ku-verify ur idenity. Mara nyingine huhitaji kuzitambua picha za friends wako na kuwatick majina yao au hukuhitaji kujibu security question ambayo uliiset mwanzo kabisa wakati unafungua akaunti yako.

Huo ujumbe wa ku-name device unakuwezesha wewe kujua ni device gani uli-login na kama kuna mtu yeyote alifanya attemp ya kulogin without ur knowledge basi inaku-alert coz hiyo kitu ina keep track ya devices ambavyo huwa unalogin navyo.
 

chwechinyong kiukweli nimejaribu saana mpaka nimechoka! Maana inanipeleka mpaka inafika sehemu inaniambia nibadirishe passw,nafanya kama inavyo taka pia natumiwa code za ku dhibitisha,code nazijaza ktk f'b vizuri hivyo hivyo naenda nayo mwisho inanipa msg hii=> Captcha attempts exceeded rate limit
For your protection, we limit the number of attempts allowed. Please try again later .
rudi kurasa ya nyuma chwechinyong kama hutojari nikutumie psw yangu via PM UJARIBU na wewe.
 
hilo si tatizo kubwa sana Slave Punguza munkari. Unatakiwa kuingiza hayo maneno yaliyo andikwa kimcharazo vizuri.

Tatizo lako limekuja baada ya facebook kukupa habari kuwa Device ____ logged in your account from____ '' '' na ukaclick kuwa huitambui account hiyo. Hapo utatakiwa kubadili password nakuweka ambayo hujawahi tumia kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Kazi ipo !maana tayari pswd nimekwisha badirisha na sasa naingiza pswd mpya ndio inakubari kuleta hayo maneno ila wall yangu bado haionekani.
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa yaliyokupata. Vikikuzengua usife moyo, fungua akaunti nyingne. Anza upya. #just sayn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…