HELP:facebook account

Deleted_account

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,385
Reaction score
3,705
Naombeni sana wadau mnisaide leo siku ya tatu siwezi kuingia kwenye akaunti yangu ya facebook.Juzi wakati na log in waliniambia akaunti yangu ina tatizo either

  • Pretend to be someone else
  • Use a fake name
  • Don't represent a real person
so njia pekee ya kusolve ni kutambua picha za marafiki zangu (Identify photos of friends) sasa nilikuwa na marafiki kama 1100 na hapa wanaleta picha za marafiki 7 unatakiwa uchague watano thta means u can skip maximum of two friends.Kiukweli ni ngumu kutambua coz kuna wengine sio picha zao,naishia kutambua mmoja au wawili. sijui nifanye nini,akaunti tangu 2006 natumia hiyo.
:crying:

​

UPDATES:

nimefanikiwa baada ya siku nne!!!kila mara nilikuwa najaribu kuidentify hizi picha at last now nimefanikiwa.Thanx God and you guys,sirudii tena kusign in kwenye websites za ajabu ajabu using my facebook acount(ushauri kwa wote).
 
You can't even recognise your own friends?

Au wewe ni mmoja wa wale ambao wana-add "friends" hata kama huwajui?
 
You can't even recognise your own friends?

Au wewe ni mmoja wa wale ambao wana-add "friends" hata kama huwajui?
Nawajua most of my friends tatizo hapa naletewa hata picha ambazo wamekuwa tagged so inakuwa ngumu,halafu kumjua mtu sio kwamba najua picha zake alizoweka facebook,wangekuwa wanaleta sura hapa ingekuwa poa.
 
Mbona umesema hapo juu kuwa "njia pekee ya kusolve ni kutambua picha za marafiki zangu (Identify photos of friends)"?

Kwani tagged photos = Identify photos?
 
Mbona umesema hapo juu kuwa "njia pekee ya kusolve ni kutambua picha za marafiki zangu (Identify photos of friends)"?

Kwani tagged photos = Identify photos?
utakuwa unachanganya kati ya identify na identity,moja ni verb nyingine ni noun.
labda niseme hivi,they tell me to identify photos of my friends ambazo nyingine ni wanakuwa tagged tu sio lazima ziwe na sura zao.
 
Reactions: EMT

You will have to write to them then.

Au google. You aren't the first person to face the problem.
 
Mara nyingi ukiona hivyo jua kuna mtu ameripoti Abuse kutoka kwako. Na huwa mara nying wanasema kuwa unatumia fake ID kufanya abuse. Sasa inakuja shida pale ambapo wanakuleta picha za friends of friends ambao huwafahamu na ukikosea uchaguzi wao basi wanaifunga akaunti yako kabisa. Pia kama utachelewa ku-verify kwa muda fulani ni lazima wataifunga.
 
whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat nimefanikiwa!!!kila mara nilikuwa najaribu kuidentify hizi picha at last now nimefanikiwa.Thanx God and you guys,sirudii tena kusign in kwenye websites za ajabu ajabu using my facebook acount(ushauri kwa wote).
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…