Kwani wewe upo wapi?Oil com ipo kurasini Dar es salaam. Kama ni daladala ukitokea k/koo panda magari ya mtongani yanayopitia shimo la udongo. Yanapark pale karibu na geti la shule ya uhuru k/koo. Ukishapanda utashuka geti namba 5 bandarini. ukishuka utaona matank yao ya mafuta upande wa pili..
+255 22 2125 312. mia
[/Qmkuu ulipotelea wapi aise huku walikuwa wamejaa watoto tuzilimisi sana mia