Help direction to oil com Tanzania main branch!

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,727
4,669
Hello!
Rejea kichwa cha bandiko hili hapo juu,naomba kuelekezwa zilipo office za oil com main branch,natanguliza shukrani!
 
Kwani wewe upo wapi?Oil com ipo kurasini Dar es salaam. Kama ni daladala ukitokea k/koo panda magari ya mtongani yanayopitia shimo la udongo. Yanapark pale karibu na geti la shule ya uhuru k/koo. Ukishapanda utashuka geti namba 5 bandarini. ukishuka utaona matank yao ya mafuta upande wa pili..+255 22 2125 312. mia
3c49d3e.png
 
nashukuru kwa mwitikio wako wa upesi,natokea Tabata,nashukuru kwa mwongozo wako!
 
Kwani wewe upo wapi?Oil com ipo kurasini Dar es salaam. Kama ni daladala ukitokea k/koo panda magari ya mtongani yanayopitia shimo la udongo. Yanapark pale karibu na geti la shule ya uhuru k/koo. Ukishapanda utashuka geti namba 5 bandarini. ukishuka utaona matank yao ya mafuta upande wa pili..+255 22 2125 312. mia
3c49d3e.png
[/Q

mkuu ulipotelea wapi aise huku walikuwa wamejaa watoto tuzilimisi sana mia
 
Kwani wewe upo wapi?Oil com ipo kurasini Dar es salaam. Kama ni daladala ukitokea k/koo panda magari ya mtongani yanayopitia shimo la udongo. Yanapark pale karibu na geti la shule ya uhuru k/koo. Ukishapanda utashuka geti namba 5 bandarini. ukishuka utaona matank yao ya mafuta upande wa pili..+255 22 2125 312. mia
3c49d3e.png
[/Qmkuu ulipotelea wapi aise huku walikuwa wamejaa watoto tuzilimisi sana mia
Hahahaaaa....!!!. Heshima yako mkuu. Mi nipo sema mihangaiko ya hapa na pale yanafanya tusionekana kwa muda mdogo. Pamoja sana mkuu. mia
 
Back
Top Bottom