Help! Blackberry

Geocruz89

Senior Member
Sep 1, 2012
130
94
hellow wanajamvi. Nina bb 8310 version 4.5. Os ambayo haisupport whatsapp mpaka ku-upgrade kwenda v.4.6.
Nimejaribu kuhack downloader na naweza kudownload hiyo prog but haifunction!
Ombi:kama waweza kunisaidia kwa hili please help me!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom