Haa kama ndoto zako ni Gari jitahidi ujichangishe atleast mill4.5 iyo ulionayo utapata gari la mtu ambalo ni crepa litakuumiza mnnoonauliza kama kuna starlet ya milion 2 naweza pata
Unapata. Lakini running and service cost itakua kubwa sana. Tafuta 3.5 hadi 4M hautajuta.nauliza kama kuna starlet ya milion 2 naweza pata