Hellen Chris
Member
- Nov 18, 2012
- 22
- 7
- Thread starter
- #21
Karibu na pole kwa kuchelewa kujoin!
Ni kama umekumbuka shuka , mda unaotakiwa ukachukue mswaki !
okey.....thanx
Karibu na pole kwa kuchelewa kujoin!
Ni kama umekumbuka shuka , mda unaotakiwa ukachukue mswaki !
am new in JF chit-chat as well in JF in general.........
I nid ur co-operation jaman
Hellen Chris. Je umeshakaguliwa? Kama bado basi jiandae nikufanyie ukaguzi yakinifu [Grade 1]
Am so glad umekuja mpendwa,
Nilikuwa nakusubiri kwa hamu sana ujiunge ili tuwe sote!
Nakukaribisha kwa mikono yote miwili chipenzi,
Jisikie huru kabisa!:hug:
You Are Warmly :welcome: Sweetheart!
ahsante sana kipipi
Usijali mpendwa wangu,
Karibu tujifunze na tuenjoy kwa pamoja!
Hakika umechagua njia sahihi.
Nahisi nime kumiss sana!
duh humu jamvini kuna vituko mnapresharaizi mwenzenu hadi anapata nightmare kwa ajili ya Asprin God forbid.
lo mie na ukubwa wote huu nikaguliwe kwani airport hapa si atakimbia mwenyewe bila kuaga kutana na kitu cha bi kizee mchezo.
mweh awakague brand new fresh from their mother's womb lasivyo ataacha kazi inayomuweka mjini.
Hahahahahahahaha,Babuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu...................
Karibu mgeni with time utagundua kuna ndoa za wenyewe humu usije ukaharibu.
cjaja kufind ndoa ma dia am taken already...........
Well well well.... Kijana umewiva sasa.... Ntakukabidhi mikoba hivi punde.Karibu Sana Hellen Chris, joining this group is appreciated!
Vipi una mwenza? kama huna ripoti haraka kwa babu Asprin kwa ukaguzi
Eti Nicas Mtei, umeniita?Hahaaaaa Mkuu wangu Nicas Mtei sina hakika kama una qualification ya ukaguzi................. we subiri babu Asprin akuje usikie
Niko hapa baby, Hebu come this way.......... Wengine wote..Shhhhiiiiiiiiiiiiiii!!!jaman mnanipa nytmare so how can i get mr asprin?
Bado huyo Kipipi, hebu mlete pande hii.Eti na we ushawahi kukaguliwa na babu Asprin?
Bibie Asnam hebu kaa kimya kwanza, unaharibu move ujue.duh humu jamvini kuna vituko mnapresharaizi mwenzenu hadi anapata nightmare kwa ajili ya Asprin God forbid.
Subutuuuuuuuuuuuuuu!! Hebu kuja pande hii tuonelo mie na ukubwa wote huu nikaguliwe kwani airport hapa si atakimbia mwenyewe bila kuaga kutana na kitu cha bi kizee mchezo.
Unaaza kuharibu sasa...Sasa unamwita babu wa nini na wewe bana? tunataka tumkague Hellen Chris kabla babu Asprin hajamkagua.......... tatizo hajatuambia lokesheni yake