Hellow!

Hisopo!!!
Natafakari hili jina! unaweza kunisaidia?
Naam! majoto

Bila shaka mkuu,

Hisopo; ni mmea fulani kama mti wa mwanzi, ulitumika sana mashariki ya kati enzi hizo katika mambo ya kidini, hasa kusafisha na kutakasa watu na vitu kiimani.

Referred:

Hesopo ni mti :

1wafalme 4:33 "akanena habari za mti , tangu Mwerezi ulioko Lebanoni hata HISOPO umeao ukutani , pia akanena habari za wanyama , na za ndege, na za vitambaavyo na samaki"

Yohana 19:29 "Kulikuwako huko chombo kimejaa SIKI; basi wakatia SIFONGO iliyojaa SIKI juu ya ufito wa HISOPO wakampelekea kinywani"

HISOPO mmea uliotumika kusafisha na kutakasia.

•MAMBO YA WALAWI 14:4

"ndipo huyo kuhani ataagiza kwamba watwae kwa ajilia yake atakaye takaswa ndege wawili walio hai, ambao ni safi na mti wa mwerezi na sufu nyekundu na HISOPO"

Pia: WALAWI 14:49, 51, 52.

HESABU 19:6, 18.

•ZABURI 51:7

"Unisafishe kwa HISOPO nami nitakuwa safi , unioshe , nami nitakuwa mweupe kama theluji"

Naamini umepata mwanga (ideal) kidogo mkuu!

^^^Japo Mimi sio pastor wala religious man , just normal personal .
 
Asante sana! nimeelewa na nyongeza juu:) Karibu JF
 
Nashangaa anavyosema kuelimika
Mkuu, elimu naamini nitachota japo kidogo ,

maana wanasema "hakuna upumbavu ulio upumbavu mtupu, kila kwenye upumbavu kuna hekima ambayo mwenye hekima anaweza kuiona!
 
Back
Top Bottom