chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
I'm a new member, nipeni taratibu za hapa inakuwaje? member wakoje hapa?
mapenzi, urafiki, mitindo, utanashati, na mapishikaribu, unapendelea mada gani hasa
I'm a new member, nipeni taratibu za hapa inakuwaje? member wakoje hapa?
Wakati ukiwa unachangia, Kumbuka kuwa kuna Cybercrime Act ambayo sio tu kwamba itakupa ban lakini pia inaweza kukupeleka jela. Watch out.I'm a new member, nipeni taratibu za hapa inakuwaje? member wakoje hapa?
Asante, siasa napenda pia ila sio sanauna bahati majukwaa yote yapo naimani umeyaona, nikutahadharishe kuhusu jukwaa la siasa huko ban ni muda wowote, ngoja nikufollow
asante, naifahamu kuna hiyo sheriaWakati ukiwa unachangia, Kumbuka kuwa kuna Cybercrime Act ambayo sio tu kwamba itakupa ban lakini pia inaweza kukupeleka jela. Watch out.
Sukuma mlango tu uingie kwa marefu na mapana.. KaribuI'm a new member, nipeni taratibu za hapa inakuwaje? member wakoje hapa?
Nashukuru sanaSukuma mlango tu uingie kwa marefu na mapana.. Karibu
Mwaga umahiri wako... tuchangie!!Nashukuru sana
unajipendekeza.Karibu sana.
Mimi ndiye mmiliki wa Forum hii, ukitaka maelezo zaidi na namna ya kusaidiwa usipigwe BAN nitafute PM....
Utaishi kwa raha sana
ndio wapi huko?Karibu sana.
Mimi ndiye mmiliki wa Forum hii, ukitaka maelezo zaidi na namna ya kusaidiwa usipigwe BAN nitafute PM....
Utaishi kwa raha sana
Umehisi ni ke nnuna bahati majukwaa yote yapo naimani umeyaona, nikutahadharishe kuhusu jukwaa la siasa huko ban ni muda wowote, ngoja nikufollow
nitajitahidiSimama kwenye ukweli
Dr kwani hauna hisia ya sita?Umehisi ni ke nn