Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,056 Reaction score 129,083 Apr 30, 2026 #61 Binti wa zamani said: Karibu sana, kama ni msichana kuwa makini na wanaume wa humu! Wengine wakipita na wewe watakuja kukuanzishia nyuzi na kuweka tupu zako humu (imeshatokea kipindi cha nyuma) Wastaarabu wapo pia, ila kuwa na tahadhari! View attachment 3579342 Click to expand... Unaharibu
Binti wa zamani said: Karibu sana, kama ni msichana kuwa makini na wanaume wa humu! Wengine wakipita na wewe watakuja kukuanzishia nyuzi na kuweka tupu zako humu (imeshatokea kipindi cha nyuma) Wastaarabu wapo pia, ila kuwa na tahadhari! View attachment 3579342 Click to expand... Unaharibu
C chai ya rangi JF-Expert Member Joined Mar 7, 2026 Posts 1,034 Reaction score 3,076 Apr 30, 2026 #62 Elleanor said: for real I'm a candidate, pia natumia browser kulog in JF inafail ku upload any file ! Click to expand... 1. ingia Play store au app store 2. search JamiiForums 3. Install baada ya hapo endelea na process zingine za kujisajili ili uwe kama sisi
Elleanor said: for real I'm a candidate, pia natumia browser kulog in JF inafail ku upload any file ! Click to expand... 1. ingia Play store au app store 2. search JamiiForums 3. Install baada ya hapo endelea na process zingine za kujisajili ili uwe kama sisi
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,806 Reaction score 13,763 Jun 15, 2026 #63 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,056 Reaction score 129,083 Jun 15, 2026 #64 Ulimakafu said: Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi. Click to expand... Mzee mwenzangu uliadimika sana humu jukwaani.
Ulimakafu said: Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi. Click to expand... Mzee mwenzangu uliadimika sana humu jukwaani.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,806 Reaction score 13,763 Jun 19, 2026 #65 Tate Mkuu said: Mzee mwenzangu uliadimika sana humu jukwaani. Click to expand... Kwa kweli, nilitakiwa kuhuisha email address sasa password ikawa mgogoro.
Tate Mkuu said: Mzee mwenzangu uliadimika sana humu jukwaani. Click to expand... Kwa kweli, nilitakiwa kuhuisha email address sasa password ikawa mgogoro.