Hii inahusika vipi na jukwaa hili Giles?Kwa vile serikali inataka kuwawekea kodi mpaka wale wenye biashara ndogondogo, basi inawabidi pia watoze kodi wezi, majambazi na vidokozi maana wanajipatia kipata kutokana na kazi zao. Labda hili linaweza kuongeza kipata serikalini (GDP).
Kwa vile serikali inataka kuwawekea kodi mpaka wale wenye biashara ndogondogo, basi inawabidi pia watoze kodi wezi, majambazi na vidokozi maana wanajipatia kipata kutokana na kazi zao. Labda hili linaweza kuongeza kipata serikalini (GDP).

Kodi hotozwa kwa kazi halali ambazo jamii na serikali inazikubali. Hizo kazi ulizozitaji si kazi hali na hivyo haziwezi kutozwa kodi.
Kwa vile serikali inataka kuwawekea kodi mpaka wale wenye biashara ndogondogo, basi inawabidi pia watoze kodi wezi, majambazi na vidokozi maana wanajipatia kipata kutokana na kazi zao. Labda hili linaweza kuongeza kipata serikalini (GDP).
Na hii inahusikaje kwenye mahusiano mapenzi na urafiki?
Afadhali wewe umempa darsa kuliko kumshushua!Kodi hotozwa kwa kazi halali ambazo jamii na serikali inazikubali. Hizo kazi ulizozitaji si kazi hali na hivyo haziwezi kutozwa kodi.
Afadhali wewe umempa darsa kuliko kumshushua!