Hellooooo!

Shery

Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
45
Reaction score
3
Habari memberz wa jf,mgeni nagonga hodi kwenu,mnipokee!
 
Karibu sana,jisikie uko home lakini usiingie hadi chumbani!
 
Karibu sanandani ya nyumba japo umepitia huku.
 
karibu!
Kama ni dada humu utapata karibu nyingi tuuu!
Pia uwe mwenye subira kwenye kuchangia hata kusoma uzi za wachangiaji.
 
Karibu sana @Shery hili jina umenikumbusha enzi zile za mwaka 1931 kulikua na nyimbo moja ya kikongo niliipenda sana hahahahahahaaa...lol.
 
Karibu kijana,vua viatu kungúta vumbi,kuna maji juu ya meza nawa uso,kaa kitini subiri upate maelekezo ila akija mtu na akakutusi sema AHSANTE!!!!!
 
Jamani nawashukuru sana wooote mlionikaribisha humu,na memberz wote.naahd kufata sheria,kuwa mvumilivu kama alivyosema ndugu yng 1,pia nki2kanwa ntajb ASANTE kama mlivyonambia.THANX U ALOT!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…