Ommossani Member Joined Apr 13, 2013 Posts 53 Reaction score 20 Jul 13, 2013 #1 Hivi buku zetu zina thamani kuliko twiga iliepanda ndege, zaidi ya misamaha ya kodi kwa makampuni na wafanyabiashara wakubwa???, naombeni msaada.
Hivi buku zetu zina thamani kuliko twiga iliepanda ndege, zaidi ya misamaha ya kodi kwa makampuni na wafanyabiashara wakubwa???, naombeni msaada.
SPY-NOTORIOUS Member Joined Sep 25, 2012 Posts 45 Reaction score 11 Jul 14, 2013 #2 languange please!! Twiga aliye sio iliyo(i-zi) acha uzembe jenga nchi yako,hizo buku zinatosheleza mambo mengi tu..kumbuka harambee za kenya mkiendekeza external aid mtaibiwa hata dada zenu na mataifa ya nje
languange please!! Twiga aliye sio iliyo(i-zi) acha uzembe jenga nchi yako,hizo buku zinatosheleza mambo mengi tu..kumbuka harambee za kenya mkiendekeza external aid mtaibiwa hata dada zenu na mataifa ya nje