Hello

Biggie willie

New Member
Oct 19, 2012
3
0
Hello members wa JF. Nimekuwa mtazamaji wa hoja mbalimbali kwenye hili jukwaa kwa mrefu na nimevutiwa sana na mambo mbalimbali yanayojadiliwa humu. Hivyo nimeona na mimi nijiunge ili nijumuike nanyi katika masuala yote yatakayoleta maendeleo kwenye hii nchi yetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom