Kwakweli Picha ni muhimu.Picha yako tafadhali. Ni muhimu sana kwenye kufanya hii biashara/kazi.
Vyeti vya shule?!, hii huduma ipo kumbe
naomba uelewe mada, mimi sitengenezi cheti cha RITA wala NIDA au Vyeti vya Shule ila endapo kama ulitenengenezewa cheti chochote kati ya hivyo then kikakosewa jina ndio nakuandalia deed pollVyeti vya shule?!, hii huduma ipo kumbe
Sawa nitakuja kwa spidi kali balaa.njoo whatsapp nikutumie picha, huko picha zangu kuzagaa sio sahihi