Tatizo mkitoaga ban huwa hamuweki jina la mod husika. Kuna kipindi nilifululiza ban nikawa na bifu la moyoni na mods wooteee. Hamia Yanga nianze kukusifia kwa roho nzuri
Tatizo mkitoaga ban huwa hamuweki jina la mod husika. Kuna kipindi nilifululiza ban nikawa na bifu la moyoni na mods wooteee. Hamia Yanga nianze kukusidia kwa roho nzuri