hello

hello

Poa umekaribishwa,lakini mbona umeanzia huku jukwaa la siasa? Ua upo kisiasa zaidi?
 
sio mahala pake hapa mtafute katavi akuoneshe reception sawa mkuu..
 
Karibu sana kijana naona unakiu kubwa ya kupata habari, relief ya mawazo na jukwaa la kuzungumzia maana waTanzania wengi siku hizi tumejawa na misongo ya mawazo inayosababishwa na Serikali ya wezi na wahuni.
 
Back
Top Bottom