Hello

Karibu sana jamvini mkuu....
 
tuzidi kuwasiliana nu kupeana mawazo na fikira ambazo zitatuwa mazingira ya maisha yetu
 
Tutawasiliana kwa pm. Futa hyo email address.
 
haihitaji kila mmoja yuku huru kutaka kutumia hiyo e-mail au la hiyo ni shauri yako kwa hivyo wewe uko huru amua unavyopenda si zaidi - ahsante
 
nawashukuru wote wanaowasiliana nami sasa hivi kwa njia yeyote wanaopenda na kila mmoja achukuwe uhuru wake
 
jina lako limejengeka kwa alfabeti 7 zenye kujirudia rudia na kuunda jina lenye jumla ya alfabeti 15. excellent creativity. karib sana
 
Karibu yaani wewe ni kiboko unataka email tu haya karibu sana utupatie uzoefu wako
 
Wallah mabata usungu na e-mail kabisa si mchezo,ngoja nami nifungue yangu ya mawasiliano.
 
karibu sana na hapa kuna wenyeji mkuu...wasikilize wakuelekeze kanuni za jumba hili adhimu
 
tupo uliza nini maana ya :ban:na inakujaje.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…