Hello!

Makedha

Senior Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
167
Reaction score
53
I'm not really new, but I forgot to introduce myself when I joined this forum so here I am.

I'm a person who's interested in music, literature & story writing and learning new languages.

I love the Swahili language a lot, but I can't really speak it well yet (which is why I haven't posted much despite me being here for almost half a year) and I basically came here to learn it.

Most of the time I just read posts, but I hope I'll speak the language well enough to participate in discussions too one day!

My attempt to translate this:

Mimi si mwanachama mpya, lakini nilisahau kujitambulisha nilipojiunga na forum hii.

Napenda lugha ya Kiswahili sana, lakini siwezi bado kukiongea vizuri (ndiyo maana sijaleta mabandiko nyingi ingawa nimekuwa mwanachama wa jamiiforums kwa muda ya karibu miezi sita) na nilijiunga ili nijifunze lugha hii.

Most of the time(?), nasoma posts tu, lakini natumaini nitaongea kiswahili vizuri wya kutosha ili niweze kuchangia mazungumzo siku moja!

So...uhm, hello everyone ! =)
 
Wewe ni mswahili mzuri tayari. Karibu JF nyumbani kwa wanaofiri mambo makuu. teh teh teh teh teh
Umeshasoma sheria za JF pia?
 
Makedha mtoto mzuri karibu. Nimependa sana kiswahili chako. Unaongea vizuri na usiwe na wasi wasi kabisa. Endelea kujifunza na kuongea kila upatapo nafasi🙂 I am quite impressed!
 
karib sana makedha. na mimi ndio mwalim wa kiswahili hapa JF. hao waliokukaribisha hapo juu wote sentensi zao zina makosa. nitafafanua makosa yao next week. stay tuned mrembo makedha.
 
karib sana makedha. na mimi ndio mwalim wa kiswahili hapa JF. hao waliokukaribisha hapo juu wote sentensi zao zina makosa. nitafafanua makosa yao next week. stay tuned mrembo makedha.
sasa wewe klorokwini mbona unatumia mbinu flani hivi? ha ha ha ha! I like this. naona strateji yako kiboko, umenishinda aisee. nimekunyanyulia mikono!
 
karib sana makedha. na mimi ndio mwalim wa kiswahili hapa JF. hao waliokukaribisha hapo juu wote sentensi zao zina makosa. nitafafanua makosa yao next week. stay tuned mrembo makedha.

Makedha karibu sana na huyu ndio klorokwini.... unapata dozi kabla ya vipimo ha ha haaaa!!!!!:coffee:
 
Makedha karibu sana na huyu ndio klorokwini.... unapata dozi kabla ya vipimo ha ha haaaa!!!!!:coffee:
tena ukitumia klorokwini huwa inawasha mwili mzima, hata kulala inakuwa taabu tupu!:laugh: klorokwini upo hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…