Hello wapendwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hello wapendwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Moge, May 11, 2011.

 1. M

  Moge New Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie n yank wa miaka 23 nahs mi ni HB, tangu nikue. Sjafankiwa kupendwa, ya nasiyaskia mapenz but sifahm lolote. Je ni muhm kusaundsha ndo nipendwa ama. Muda aado. Manake nina kira sababu za kua na duu.but najshangaa kwa nini.hebu naomben msaada wenu
   
 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  subiri ukue kudooogo,ongeza tumiaka bwana ndio ufikirie mapenzi,btw nimeshindwa kukusoma unataka msaada wa aina gani
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Jifunze kujiwakilisha kwanza..
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Nyie watoto wa siku hizi nyie......hivi unajua hapa tupo baba zako na mama zako.....unaandika kihuni namna hii unadhani wote sisi ni rika lako?
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Tumia lugha sahihi ya Kiswahili!
  Hakikisha unawasiliana na watu wote unaotaka wakupe majibu, siyo wahuni tu!
   
 6. CPU

  CPU JF Gold Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  House Boy?????
   
 7. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Hv yule kifimbo cheza w kwnye gazet la sani hayuko humu?
   
 8. P

  Pretty P Senior Member

  #8
  May 11, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wote hapo juu mmeniwakilisha asanteni, ila naweza sema kijana BEHAVE na haraka kachukue daftari usome. Otherwise kacheze mpira umri wako bado
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  May 11, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Watoto show.....
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  May 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Ikiisoma statement yako inaonekana kweli una tatizo but the way ulivyowakilisha ni kwa mzaha kama hauko serious, kama vile ulikua unatuma wakati unafunga tai ... Enways kama una miaka kweli 23 na ni mwanume lijali swali linakua zito mto ambalo ningependa nijue... Siwezi litoa hapa. Kutokana na ulivyojieleza hapa inaonesha wazi hata kumtongoza mwanamke huwezi, unamtongoza kana kwamba akiwa nawe atakua ni mtu mwenye bahati saana badala ya vice versa... Unazungumzia kusaundisha, but kusaundisha unatumia ukweli ukichanganya na uongo - Alafu hao maduu unaowatokea sio level yako, inawezekana unajiona HB saaana mpaka labda mabinti unaowatokea ni wale ambao wanajua mwanaume wa kweli kwa kumwangalia tu the way you carry your self, the attitude, the posture .... I can go on forever... na bahati mbaya pamoja na u HB wako woote bado huna impact... Alafu sifa yako ya kwanza eti HB, and you are 23!!! Mbona watoto wa dot com siku hizi wa miaka 14 anaweza kukutongoza mpaka unasikitika kwamba ni mdogo hakufai but anajua analoongea....
   
 11. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Dah! kweli hutaki mchezo, yaani umemaliza kila kitu. short and clear, sio siri imebidi nicheke!!!
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  May 12, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Swala sio age wala u-HB, tatizo hujitambui. Jaribu kuwa real, wasilisha muonekano wako halisi usilete usharobaro ukafata vitu next level utaishia kunawa.....!! Kama hiyo ndo lugha unayoitumia hata kwa hao maduu, mbona shughuli!
   
 13. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Miaka 23 wenzako wengine wanakuwa washaoa na watoto wanao, embu changamka bana we ukoje?
   
 14. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #14
  May 12, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  cpu watafuta uchokozi wewe lakini kwanini hujaiacha bado hi tabia hahaha house boy lool
   
 15. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #15
  May 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  We kijana nawewe usikute bado hujabalehe, soma shule mapenzi utayakuta tu
   
Loading...