Hello wapendwa, new girl in the block,,,

Hello wapendwa, new girl in the block,,,

DianaKiboko

Member
Joined
Feb 27, 2011
Posts
18
Reaction score
0
Hodi jamii forum! Nimekua nasoma tu kwa siku nyingi leo nimeamua kujitosa ulingoni, naomba kukaribishwa 🙂:wink2:
 
Karibu saana, soma sahihi yangu hapo chini
 
Asante Michelle! Nimekusoma sana Michelle na nakufagilia sana always, in fact umenisababisha kujiunga :wink2:
 
Asante Mpevu, sahihi yako poa, usikate tamaa, ila mie nshawahiwa na ndugu yako, ila endelea kuangaza utapata tu hata ikibidi nikusaidie kutafuta, :wink2:
 
Karibu sana DianaKiboko jamvini, zingatia kanuni na sheria za jamvi letu ili uishi kwa amani!
 
Karibu sana Dianakiboko, huu ni ukumbi wa watu wenye kufikiri sana, upo tayari kuumiza kichwa!?
 
K007 asante. Ndio maana nimejiunga sababu nafikiria na nataka kuendelea kufikiria na kuumiza kichwa sana! 😛oa
 
Karibu jisikie amani sio upo home usije kuwaza majonzi yakitaa kwenu.
 
asante Yahemovich, nimeshakaribia na tayari najisikia nipo nyumbani 🙂
 
Kilimasera asante nimekaribia!

naitwa kilimasera mlima mmoja uliopo katikati ya wilaya za tunduru na namtumbo ni maarufu huko kusini na ni mkali sana huu mlima pia una maajabu!!so diana karibu pia tunakaribisha na mchango wako wa mawazo jisikie upo home
 
Karibu sana DianaKiboko.....nadhani utakuwa na mawazo kiboko kweli kweli
 
Asante Kaizer! Yani nimecheka sana, Nyani hasusiwi shamba??!!! LOL!!! Hiyo ni Kiboko kama jina langu 🙂
 
Kilimasera, asante sana, naona umepona na Simba! wanasema huko maeneo wakati wowote unaweza ukawa lanchi ya Simba! Be careful 😛ray:
 
Asante Kaizer! Yani nimecheka sana, Nyani hasusiwi shamba??!!! LOL!!! Hiyo ni Kiboko kama jina langu 🙂

habari ndo hiyo unajua kitatokea nini kama ukijifanya kumsusia au sio? LOL
 
Back
Top Bottom