Hello Scott it's president Obama

Bonesmen

JF-Expert Member
Jan 18, 2016
929
991
Ni sauti ya Raisi wa taifa la marekani ikigonga kuta za maabara inayoelea angani Yani international Space station iliyo umbali wa km 400 kutoka uso wa dunia na inazunguka mile 5 kwa kila sekunde ni low orbit satellite Obama siku chache kabla ya mwanasayansi Wa space Scott Kerry kurejea katika uso wa dunia alimpigia simu na kuongea nae kadhaa, Mwanasayansi huyu wa anga yani astronaut atakuwa ndio mwana anga wa kwanza kukaa kwa muda mrefu ktk kituo hicho cha anga amekaa ndani ya siku 340 Amereje juzi march moja huku akiwa na report kibao za huko ikiwemo makala za kivipi ali manage kuweka afya sawa kwa muda huo nje ya dunia. Kutokana na kurejea kwake tayari shirika na NASA limezidi kusisisitiza kupeleka Watu mars mnamo 2030.
uploadfromtaptalk1457157610674.jpg
 
Back
Top Bottom