Hello People!

Hello People!

Vene

Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
93
Reaction score
42
Naitwa Vene, nikiwa humu. Nimefurahi kujiunga hapa ili kuelimishwa na kuelimishana na wana jf katika masuala mbalimbali yatuhusuyo wote. Tutakua pamoja na nashukuru kwa ukaribisho.
 
Nawashukuru sana! Ila naona toka nimeingia humu nachelewa sana kulala!Halafu hizi picha zenu???? Na mimi ntatafuta nzuuuuri niweke! Ila sijajua namna ya kuweka nimehangaika weeeee!
 
Usihofu taratibu tu utafahamu namna ya kuweka hizo picha. Karibu sana!
 
Nawashukuru sana! Ila naona toka nimeingia humu nachelewa sana kulala!Halafu hizi picha zenu???? Na mimi ntatafuta nzuuuuri niweke! Ila sijajua namna ya kuweka nimehangaika weeeee!
Pole mazee,utakaa sawa tu.
 
Weka picha yako,karibu sana kuna watu wanamajibu humu,itabidi uzoee,mwenyewe nimejiunga jana
 
Kweli huku kuna majibu ambayo ukiona unajiuliza huyu mtu kawaza nini! Naona ndio critical thinkers hao, safi lakini. Inabidi kuwa mpole na kuweka jazba pembeni. Forum hii nimeipenda kwa kweli. Ila kuweka picha yangu kama facebk itakua ngumu!
 
Nawashukuru sana! Ila naona toka nimeingia humu nachelewa sana kulala!Halafu hizi picha zenu???? Na mimi ntatafuta nzuuuuri niweke! Ila sijajua namna ya kuweka nimehangaika weeeee!
inganganize tu itakubali!
 
Back
Top Bottom