M Majaliwa New Member Joined Feb 2, 2010 Posts 4 Reaction score 1 May 2, 2011 #1 Nia yangu ni kuwasilimia tu kwani bado mim ni mgeni katika jamvi hili na kwa utamaduni wetu sis wa tanzania salamu muhimu...wazima wote?
Nia yangu ni kuwasilimia tu kwani bado mim ni mgeni katika jamvi hili na kwa utamaduni wetu sis wa tanzania salamu muhimu...wazima wote?
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,448 May 2, 2011 #2 Pole kwa safari karibu jamvini
Michelle JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,631 Reaction score 3,543 May 2, 2011 #3 karibu JF Majaliwa....mimi mzima,natumai nawe pia....Enjoy!:happy:
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,715 May 2, 2011 #4 karibu majaliwa,mie naitwa saaly.
AshaDii Platinum Member Joined Apr 16, 2011 Posts 16,189 Reaction score 18,113 May 2, 2011 #5 Majaliwa said: Nia yangu ni kuwasilimia tu kwani bado mim ni mgeni katika jamvi hili na kwa utamaduni wetu sis wa tanzania salamu muhimu...wazima wote? Click to expand... Majaliwa you are welcome, na jisikie upo home... All the best katika JF jamvi....
Majaliwa said: Nia yangu ni kuwasilimia tu kwani bado mim ni mgeni katika jamvi hili na kwa utamaduni wetu sis wa tanzania salamu muhimu...wazima wote? Click to expand... Majaliwa you are welcome, na jisikie upo home... All the best katika JF jamvi....
Mkwaruzo JF-Expert Member Joined Feb 21, 2011 Posts 563 Reaction score 98 May 2, 2011 #6 Owkey, karibu JF espesial MMU na huu ndiyo mkwaruzo ila usikae nao mbali kwani hauumizi
Fatma Bawazir JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 491 Reaction score 180 May 3, 2011 #7 karibu sana jamvini
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 May 3, 2011 #8 Karibu pita ndani!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 May 3, 2011 #9 karibu sana mkuu