Waoooo!! thats interesting even, itakuwa burudani sana kama mkinikaribisha kwa Fanta(obey your thirsty-tii kiu yako) .Karibu sana i pad3, hakikasha umemaliza home work yako ulopewa jana shuleni...
Subiri Erickb52 kaenda kukununulia Fanta orange!
ngoja nikamcheki...nitaruhusiwa kumchungulia?Karibu jf kijana! Tembelea mitaa ya jukwaa la siasa, mmu na chit chat. Mitaa mingine utaijua mwenyewe! Ukifika mmu na chit chat utaonana na kongosho, huyu hajulikani kama ni she au he, coz wakati mwingine huongea kama she na wakati mwingine huongea kama he, kazi ni kwako!
kweli? embu nipe majian mawili matatu ili nikingia kule nijue pa kuanzia? kwema lakini kijana?