Hello Jf members

Jeho

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
5,053
5,502
Hi to all members, natumai mu wazima na munaendeleza mijadala mbalimbali kuhusu nchi yetu pamoja na mambo mengine ndani ya hii forum. Nami pia nimepata nafasi hii ya kujumuika nanyi ili kupata na pia kutoa mambo mbalimbali ndani ya nchi yetu. Nasubiri ukaribisho kutoka kwenu wenyeji wa forum hii.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom