Hello JF Members

Hello JF Members

Ishaka

Member
Joined
Nov 1, 2011
Posts
74
Reaction score
12
😛oa Wapendwa wana Jamii, wakubwa shikamoni, wadogo mambo vipi? Nawapenda kisha nawafagilia wawaaaaaaaaa! Yes you deserve it men! kumbe mambo matamu yapo huku?! Naomba mnipokee ili tuweze kushirikiana katika kuboresha huduma hii mtambuka ili iweze kwenda na wakati zaidi maana nimegundua ni chemchemi ya mambo mengi muhimu kwetu na kwa wakati muafaka.
U be blessed I love you all. Cheers
 
Marahaba......karibu sana umetoka wapi?
 
Jamani asanteni nimeshakaribia, nimefarijika kwa ukarimu na mapokezi yenu. Nimetokea katika jamii ya wapenda amani na utulivu. Napenda sana kushiriki na kuchangia mijadala aina zote pia kujifunza. Tuko pamoja
Asanteni sana.
 
Kama ccm mi sikukaribishi but kama chadema! Karibu sana sana tena mno
 
Back
Top Bottom