amesema yeye ni junior na angependa baadae aje kuwa senior. Cjui amesikia ukiwa senior hapa jf mshahara unapanda huko kazini kwake! Au labda baadae anataka kuwa ceo wa jf!....natania tu jamani. Dr. Karibu sana. Hii ndo jf na mara jingine vijana wa hapa wana utani kidogo. So try to bare with......!