Mambo si ndo haya sasaWakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba (nyash ipo)
Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha
Ni mkristo mkatoliki
Sina mtoto wala sijawahi kuolewa
Naishi Dar
Nina miaka 32
Mwanaume ninayemtaka
1. Awe Dar sitaki long distance relationship kwa sababu nmeachana na x wangu kwa sababu ya umbali.
2. Uwe na kazi ya kukuingizia kipato au biashara
3 uwe tayari kuwa na familia, ndoa takatifu na kuwa baba wa familia
4. Uwe na akili timamu
5. Uwe mrefu mweusi ( mimi ni mweusi)
6. Uwe mkristu ( Lutheran au catholic ) wasabato hapana
7. Uwe umemaliza ujana sitakuwa na muda wa kukufatilia
Nimekuja humu kwa sababu naamini mliopo humu ndo mliopo mtaani pia. Kwahiyo naomba msinibeze ukiona sikufai tafadhali usije pm
PM yangu ipo wazi, karibu future husband tuyajenge, nitakupenda hadi utafurahi
Mambo ni mazuriβNafanya kazi na Nina kipato kinachonitoshaβ kwa hii point tu wewe anza kuandaa kamati ya sendoff .. mume unaye na ndoa unayo.
Kigezo cha akili timamu kimenitupa lakini vingine vyote vipo freshWakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba (nyash ipo)
Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha
Ni mkristo mkatoliki
Sina mtoto wala sijawahi kuolewa
Naishi Dar
Nina miaka 32
Mwanaume ninayemtaka
1. Awe Dar sitaki long distance relationship kwa sababu nmeachana na x wangu kwa sababu ya umbali.
2. Uwe na kazi ya kukuingizia kipato au biashara
3 uwe tayari kuwa na familia, ndoa takatifu na kuwa baba wa familia
4. Uwe na akili timamu
5. Uwe mrefu mweusi ( mimi ni mweusi)
6. Uwe mkristu ( Lutheran au catholic ) wasabato hapana
7. Uwe umemaliza ujana sitakuwa na muda wa kukufatilia
Nimekuja humu kwa sababu naamini mliopo humu ndo mliopo mtaani pia. Kwahiyo naomba msinibeze ukiona sikufai tafadhali usije pm
PM yangu ipo wazi, karibu future husband tuyajenge, nitakupenda hadi utafurahi
Kushindwana na mmoja haimaanishi wote wako hivyo, ongeza wigo wa kutafuta mwenza...mbona tupo poa tu!Niliwahi jaribu tukashindwana
Hii statement tyr imeharibu kila kitu.nitakupenda hadi utafurahi