Naomba kukaribishwa katika Forum hii!!!!!!!!!! Wenyeji mpo?
Mgeni wetu anaitwa Katavi bana! hebu mkaribishe mgeni! tena sio unacheka cheka nae sana wewe ni mke wa mtu usisahau.

karibu sana kloro.

Mgeni wetu anaitwa Katavi bana! hebu mkaribishe mgeni! tena sio unacheka cheka nae sana wewe ni mke wa mtu usisahau.
Wengine hatukubahatika kumkaribisha mheshimiwa muhimu kama huyu! hivi wewe nilikukaribisha ulipoingia?

tangu 2009 unamkaribisha leo.
Katavi karibu, i'm single stl searchn!!!!

Wengine hatukubahatika kumkaribisha mheshimiwa muhimu kama huyu! hivi wewe nilikukaribisha ulipoingia?
Anzisha sredi nyengine basi ya kupiga hodi nikukaribishe. Ok naomba razi, haya njoo tukuje tucheze ile baba na mama.

nashangaa mi hujanikaribisha, tabia mbaya hyo kloro. Sichezi na wewe tena!