Hello friend naomba kuuliza

josegudy

New Member
Apr 25, 2017
2
0
Naomba kujua kuhusu soko la ajira kwa mtu aliyesoma Bachelor of arts in economic ,kama kuna mtu aliyesoma kozi Hiyo naomba anisahidie au kama kuna anayejua anisahidie plze ,nahitaji kujua kuhusu kazi wanazofanya wap n.a. wap ambapo wanafit watu wa kozi Hiyo n.a. kazi wanazofanya kwa ujumla.Nashukuru kwa watakao nipatia maarifa kuhusu hili
 
Back
Top Bottom