hello everyone ......

yaani naunga mkono hoja,anyofolewe tu,hawezi
kumdhalilisha my shem Arushaone kiasi hiko!!!!!!!!!!!!

naunga mkono hojaaaaaaaaaaaaa
By Arushaone

Mkuu humu mambo ni mengi mpaka nashangaa! Jana wengine tulisingiziwa ni matapeli kwenye PM. Namuachia MUNGU tu.




shoga kakosa mabasha yule
asitushughulishe atajiju!!ana nini
cha kutapeliwa?au yale makengeza?


​

@Passion Lady
aiseeeee hawa ni watu wawili tofauti nawewe unalijua hilo

watu8 tonykp ni ID ya pili kaweka mwaka jana mwishoni na aviator ya tatu na bado ile ya sunguramtoto akajidai eti anamtuhumu tonykp kamwibia mke na kuwahususisha wakina Arushaone PakaJimmy na Erickb52 kumbe anania yake. Bishanga njoo umuone aliyemtuhumu mtoto wetu manoahh kavuliwa nguo hadharani hadi pichu​


The secretary nimekupenda kutufungua macho

cc: bebi Asprin
 
dear amu,bifu langu na manoah
limekuja baada ya huyo kijana kuingia kwny ID yangu
akabadili passwad yangu na akaanza kuitumia yeye akijifanya PL
katukana watu pm kwa kutumia ID yangu,,nini sababu ya kufanya hivyo
anajua yeye,na nilimuomba kistaarabu anipe paswad akanijibu,sikupi
ikabidi nichukue hatua,y atumie id yangu?kwa nn asiwapm kwa kutumia id yake
so kuna mengi yamejificha,mi sijui wala wewe hujui,anajua yeye sababu,so tuyaacha yalivyo
hakuna aliechafuliwa,yeye ndio mchafuzi!!
 
Last edited by a moderator:

pole sana pacha, umenikumbusha shemejio wa kwelikweliii nilimpa password yangu ya fb, akaingia bana wacha aanze kuporomosha mitusi tena kwenye wall yaani ndiyo ikawa mwisho wangu wa kuingia fb mpaka leo sina hamu
 
Last edited by a moderator:
pole sana pacha, umenikumbusha shemejio wa kwelikweliii nilimpa password yangu ya fb, akaingia bana wacha aanze kuporomosha mitusi tena kwenye wall yaani ndiyo ikawa mwisho wangu wa kuingia fb mpaka leo sina hamu

ndio hivyo katukana watu
akijifanya ni mimi,ila kaumbuka
mpaka basi!!
 

si bora wewe ulitrack ya anaekuhusu
sasa mimi huyu kijana baada ya mm kufowadiwa
pm anazotuma kwa watu za uongo si nika mp kumuuliza
ili kukwepa nisipate mengi zaidi ndio akatrack na kubadili paswad nisiweze
kuingia,akaanza kumtukana alienitumia hizo sms akijidai pl,sio ustaarabu,nilichofany ni kumripoti!!
 
ha ha ha jf raha sana sijajutaaaaaa na sitajutaaaa kuifahamu nachojutia kuchelewa kuijua tu

pole jamani malizaneni kimya kimya
 
shoga kakosa mabasha yule
asitushughulishe atajiju!!ana nini
cha kutapeliwa?au yale makengeza?






 
Pasword yako aliijuaje?




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…